Msada wa Mawazo tafadhali

Msada wa Mawazo tafadhali

chezea BRN wewe, kwanza hebu angalia kama hyo diploma utafaulu maana ina ugumu flan na ufanyaji wa mitihani sio lelemama, kumbuka fani nyingu zinahitaji uwe una cheti cha form six , hivyo serikali imewashika pabaya sana
 
Bora ungeleta swali lako kwa kingereza maana watu humu wasomi wangeelewa japo kuandika kingereza nacho ni tabu
BTY=BUT


DPLM=DIPLOMA
EDCTN= EDUCATION
KM=KAMA
DGR=DEGREE
KITY=KITU
KNGN=KINGINE
TOFAUTY=TOFAUTI
COZ=COURSE
CIJUI=SIIJUI
Kwa kifupi makosa yako ni Mengi hayafananii na mtu anayeenda degree. Halafu bado unaambiwa unaona hamna kosa.



mkuu ujue sisi wanasaikolojia wa elimu hatuwawazi sana hawa brn, katoka form 4 hana credit za a- level! ndo maana haya yoteeew ajiandae kureseat for examination tena vinginevyo
 
mkuu ujue sisi wanasaikolojia wa elimu hatuwawazi sana hawa brn, katoka form 4 hana credit za a- level! ndo maana haya yoteeew ajiandae kureseat for examination tena vinginevyo

Hahahaaaahaaaa mwenzio mwalimu mtarajiwa ujuee
 
Wame ni chagua udom dplm y edctn math&chmstry lkn nilikuwa cna ndoto za kuwa mwlm...naomba mnisaidie km dgr ntaweza soma coz nyngn tofauty na edctn na ni coz gani

Kwa uandishi huo lazima utoke mapema sana udom. watafute wenzako wanaoingia mwaka wa pili watakusimulia yanayoendelea-wengi wana supp. sasa hiyo degree utaipataje bila kugonga GPA ya 3.7+?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom