RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 201 Oct 23, 2010 #1 Hivi wanalugha kuna kitu kinanikanganya, ni neno gani la kiswahili linatumika badala ya neno la kiingereza 'respectively'?
Hivi wanalugha kuna kitu kinanikanganya, ni neno gani la kiswahili linatumika badala ya neno la kiingereza 'respectively'?
Averos JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 994 Reaction score 703 Oct 23, 2010 #2 respectively, KATIKA HALI YA KUFUATANA
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,604 Reaction score 1,855 Oct 23, 2010 #3 RayB said: Hivi wanalugha kuna kitu kinanikanganya, ni neno gani la kiswahili linatumika badala ya neno la kiingereza 'respectively'? Click to expand... m fululizo, Mtawalia, mtiririko!
RayB said: Hivi wanalugha kuna kitu kinanikanganya, ni neno gani la kiswahili linatumika badala ya neno la kiingereza 'respectively'? Click to expand... m fululizo, Mtawalia, mtiririko!
Mtazamaji JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 5,937 Reaction score 1,444 Oct 24, 2010 #4 Juma john na bakari wana miaka 23, 34 na 42 kwa mlololongo huo huo. lol kazi kweli kweli . sijui nani yuko sahihi. Mzee Shaban Gonga na khamis khakida wako wapi ?
Juma john na bakari wana miaka 23, 34 na 42 kwa mlololongo huo huo. lol kazi kweli kweli . sijui nani yuko sahihi. Mzee Shaban Gonga na khamis khakida wako wapi ?