Msaada

mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,304
6,509
Nina blog, nahitaji kuwa na icon ya JF kama ile ya Facebook na Twitter ili niweze kushare directly what i post na wanaJF...Nifanyeje?
 
hili ni gumu kufanyika sidhan kama JF kwa sasa inaruhusu post mpya kuanzishwa bila kupitia JF. Ni lazima blog yako iwe na mawasiliano na JF database kwanza yaani atambulike anayepost ni nani, head ya topic yake, anapost jukwaa gan n.k.
 
wanakuja akina C6 i hope watakushauri vizuri tu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom