Tangazo la biashara ya mbao.

Tangazo la biashara ya mbao.

Itovanilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
2,311
Reaction score
5,158
Habari jamii forum.

Kwa wakazi wa Dar es salaam na maeneo Jirani .

Tunauza mbao aina ya mtiki (tirky)

Kwa vipimo vifuatavyo,

Urefu wa mbao karibu zote ni
Cm 270 yaani futi 9.

Kwahiyo mauzo ni,

Ujazo ni cm 6 yaani inches 2 na nusu

Hivyo mauzo na bei ni kama ifuatavyo

2×5=25000/-

2×6=35000/-

2×8=60000/-

2×10 =85000/-

Location Tabata mwananchi.

Pia mbao nyingine zinapatikana kama vile Mninga,Mkongo,Mvule na mingine mingi

Wateja wote mnakaribishwa
 
Back
Top Bottom