Msaada....

We Lizzy unakuwa kama hujui methali za kiswahili; Mgeni njoo mwenyeji aponeepo".
Ilitakiwa iwe ''mgeni njoo mwenyeji ajitume'' maana nlivyozoea wenyeji ndo hua wanachinjia mgeni kuku...ila siku hizi huko mijini eti mgeni ndo aje na kilo ya nyama na mchele atakaokula!!
 
Back
Top Bottom