Yapo website ya Udsm ingia apo utayaonaWakuu naombeni msaada kwa mwenye orodha ya waliochaguliwa kujiunga DUCE na MUCE Academic yr 2019/2020. Nimeshindwa kuipata kwenye website zao.
SawaYapo website ya Udsm ingia apo utayaona
si kimoja hakuna haja ya Ku confirme kwani umetumiwa code ya Ku confirme?Sorry mkuu, hivi kama umechaguliwa chuo kimoja kuna haja ya kuconfirm? Mimi nimepelekwa Duce