Hbr wana jf,naomba msaada kwa MTU mwenye mawasiliano ya TCU anipe no ht km nj ya MTU binafsi k.v mfanya kaz was hapo,napiga cm za mezan hazipojelewi,nataka wanitoe kwenye mfumo wao ili niombe upya,
hiyo issue ya kwenda ofisini mdogo wangu tena ujaze na fomu upate na barua kutoka chuo ulichokuwa umeandikishwa, usichukulie poa wao hawamtoi mtu kirahisi kwenye system kama wew unavyodhania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.