Msaada .

Msaada .

sweetlee

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
4,050
Reaction score
14,770
Wakuu simu yangu kila nikidownload App nikitaka kunitumia inaniambia ni allow storage permission nikienda setting kuallow inanigomea kama hivyo.
Naombeni ushauri.
Screenshot_20181217-202817.jpeg
 
Namna ya ku turn off ndio sifahamu nimeshahangaika sana. Naomba maelekezo
Nenda kwenye hiyo app unayotaka kutumia then ingia kwenye settings zake (permission settings) hapo lazima utakutana na option ya screen overlay then unaiturn off
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom