chindosaid Member Joined Aug 1, 2018 Posts 36 Reaction score 5 Sep 4, 2018 #1 Kwa alama hz DDE udsm BAED naweza kuchukulia kwa 2nd round? Sent using Jamii Forums mobile app
James Comey JF-Expert Member Joined May 14, 2017 Posts 9,529 Reaction score 16,293 Sep 4, 2018 #3 Aisee...hizo alama zitakupa shida kidogo lakini usife moyo kijana. Nb Chaguo lako la kwanza lilikuwa ni hiyohiyo Baed
Aisee...hizo alama zitakupa shida kidogo lakini usife moyo kijana. Nb Chaguo lako la kwanza lilikuwa ni hiyohiyo Baed
chindosaid Member Joined Aug 1, 2018 Posts 36 Reaction score 5 Sep 4, 2018 Thread starter #4 James Comey said: Aisee...hizo alama zitakupa shida kidogo lakini usife moyo kijana. Nb Chaguo lako la kwanza lilikuwa ni hiyohiyo Baed Click to expand... Yah ila udom na kuna jamaa kachukuliwa udsm kwa hz alama Sent using Jamii Forums mobile app
James Comey said: Aisee...hizo alama zitakupa shida kidogo lakini usife moyo kijana. Nb Chaguo lako la kwanza lilikuwa ni hiyohiyo Baed Click to expand... Yah ila udom na kuna jamaa kachukuliwa udsm kwa hz alama Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbukumbuyatorati Senior Member Joined Jul 27, 2018 Posts 152 Reaction score 222 Sep 4, 2018 #5 kwanini mnakomaa na UDSM wakati alama zenu ni ndogo mwisho wa siku mtakosa vyuo vyote
James Comey JF-Expert Member Joined May 14, 2017 Posts 9,529 Reaction score 16,293 Sep 4, 2018 #6 Hizi alama ni zako au za mtu? Kama ni so zako na unasema kuna mtu kachukuliwa kwanini isingekuwa wewe au kozi tofauti?
Hizi alama ni zako au za mtu? Kama ni so zako na unasema kuna mtu kachukuliwa kwanini isingekuwa wewe au kozi tofauti?