msaada

msaada

Ni hivi nina certificate cheti na nahitaji kupata chuo ambacho ninaweza kwenda kujiunga na diploma kweny upanda wa procurement and supply, kama mnafahamu chuo chochote naomba mnijuze na usajili unaanza lini .
 
GPA 2.5 nahitaji procurement or clearling. kuna uwezekano wa kupata chuo ili nijiunga na dimploam
 
Back
Top Bottom