Msaada

Msaada

kenlick00

Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
45
Reaction score
5
Kwa pay ya kuanzia 300k-400k naeza pata cm nzur kwa bongo au mambelee?
 
kuna mchina mmoja ana group ya whatsapp anaagiza vitu kwa bei chee sana. Kuna mtu humu nilimpa product aniagizie akaniambia ni 100,000 but nikampa yule mchina aniagizie product ile ile na kwa suplier yuleyule cost ikawa 68,000. Watz tusingekuwa na hulka ya kupenda kuibiana tungekuwa mbali sana.
 
Nipe link ya hilo group
 
Unataka kampuni gani mkuu.

Maana simu nzuri hutokana na mtu mwenyewe kupenda kitu gani
 
kuna mchina mmoja ana group ya whatsapp anaagiza vitu kwa bei chee sana. Kuna mtu humu nilimpa product aniagizie akaniambia ni 100,000 but nikampa yule mchina aniagizie product ile ile na kwa suplier yuleyule cost ikawa 68,000. Watz tusingekuwa na hulka ya kupenda kuibiana tungekuwa mbali sana.
Na mimi ninaomba link ya group Shehe. Au ni pm namba yake huyo mchina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom