Mji mfu huo mjini ni pale tu kwenye sanamu la dinosourNdo maana nimeuliza mkuu
Hahahaha noma mzee, kuna kiwanja nimekiona sqm za kutosha kimeuzwa kwa 127kIngekuwa ni Dodoma au Arusha wala msingejua kuna viwanja viliuzwa!
Tanzania una uhuru wa kuishi popote; twendeni tukajitwalie viwanja Lindi at affordable price!
Kitwae fasta na wewe umiliki kipande cha ardhi kihalali🤣🤣🤣Hahahaha noma mzee, kuna kiwanja nimekiona sqm za kutosha kimeuzwa kwa 127k
Dar? Imejaa bro labda ukutane na mtu ana "shida" kwa connections za madalali.Nikajua dar, kidogo nipagawe
Ni mkoa wa pili kwa ukubwa Tanzania. Ina majaluba na viwanda vingi vya chumvi; fursa kwa vijana. Lindi inajitambulisha yenyewe - need no introduction.Lindi ni wapi
Hali ya hewa ipo vipi? pana faa kwa kilimo gani nataka niwekeze kilimoLindi Manispaa ndio Manispaa inayoongoza kwa ukubwa Tanzania nzima ila cha kushangaza ndio Manispaa ambayo inamiliki eneo kubwa la pori ikiwemo mashamba ya mihogo, ufuta na Korosho. Hivyo usishangae kuona kiwanja kipo Manispaa na kinauzwa bei hiyo.. Huko ni chaka but kiuwezaji kunafaaa.
Viwanja vingi vilivyotembea ni vile ambavyo viko karibu na ule mradi unaosuasua wa LNG
Kigamboni sio Dar?Dar? Imejaa bro labda ukutane na mtu ana "shida" kwa connections za madalali.