Whatsapp yangu imefungwa naomba msaada

Vampiree

JF-Expert Member
Jun 29, 2020
534
1,340
wakuu naombeni msaada Whatsapp yangu imefungwa nimejaribu kudownload aina nyingine bado aitaki kufunguka . mara ya kwanza nilikuwa na tumia Whatsapp gb .

sasa nimejarbu kudownload play store Whatsapp ya kawaida bado aifunguki

nimejaribu kuripoti tatizo kwa Gmail kwenda kwa Whatsapp wanifungurie na haya ndio majibu yao apo chini .
Screenshot_20230629-151947_Gmail.jpg
View attachment 2673067
 
wakuu naombeni msaada Whatsapp yangu imefungwa nimejaribu kudownload aina nyingine bado aitaki kufunguka . mara ya kwanza nilikuwa na tumia Whatsapp gb .

sasa nimejarbu kudownload play store Whatsapp ya kawaida bado aifunguki

nimejaribu kuripoti tatizo kwa Gmail kwenda kwa Whatsapp wanifungurie na haya ndio majibu yao apo chini .View attachment 2673068View attachment 2673067
Hiyo English niyakwako? Kama ndio nenda Kwa RAS simba
 
wakuu naombeni msaada Whatsapp yangu imefungwa nimejaribu kudownload aina nyingine bado aitaki kufunguka . mara ya kwanza nilikuwa na tumia Whatsapp gb .

sasa nimejarbu kudownload play store Whatsapp ya kawaida bado aifunguki

nimejaribu kuripoti tatizo kwa Gmail kwenda kwa Whatsapp wanifungurie na haya ndio majibu yao apo chini .View attachment 2673068View attachment 2673067
Umejitakia
 
Lakini wenye wasapu yao wamemuelewa sasa ni kazi kwake kuyafanyia kazi waliyomuelekeza.

Ndugu mleta mada mimi pia ni mtoro natumia GB WhatsApp huu mwaka wa nne,sorry unaweza ku-share ilikuwaje mpaka ikafikia hatua hii ili wengine tujue namna ya kuiepuka?
mkuu nilidownload Whatsapp gb ikawa inapiga kazi fresh imemaliza kama wiki mbiri ikawa imefungwa najarbu kudownload nyingine lakin wapi ikawa imeisha iyo
 
Ulikosea kitu utakuwa uli-download old version hizo hukatizi mtaa wa pili unalimwa BAN kali sana nahisi ndiyo situation unapitia.

Ngoja nakupandishia link uangalie kama itakusaidia.
 
Back
Top Bottom