OTHMAN BEY
Member
- Jun 20, 2026
- 74
- 123
- Thread starter
- #21
Sawa mkuu vitu hvyo maharage mekundu nikigusa tu balaa linaanza vtu vya uchachu nyanya n.k ndo usipimeVIkisha komaa hata ufanye nini mtu wangu, its over, unakuwa tu unatuliza symptoms zake.
Ponea yake nikuvitibu mapema (early stages)
UKiwa stage ya kati kati unakuta unapoona vinaamka baada ya miezi au mwaka.
Ili ikiwa konki, aisee utaliwa pesa sanaaaa kutafuta dawa
Stage yako, ni kumantain symptoms, Endelea kutumia dawa za kuituliza lakini pia kula mapema na milo mitatu, kunywa maji sana, lakini pia acha dagaa kabisa, maharage, vidonge vya maumivu ukiwa umeshiba na maji mengi