Msaada"" wenu"" wakuu?

Msaada"" wenu"" wakuu?

Ndio, sina chronic maharage nakula
Vizuri tu!
Dah shukran vyakula ambavyo nimekatazwa kula ni vingi wali dagaa nyanya

vyakula visivyonisumbua ni
UGALI NA VIAZI VISIVYOKUA NA VIUNGO ILA CHUMVI TU NA MAFUTA ILA VINGINE NAFOSI labda dawa zinachagua mana omeplazo nameza kila tumbo likiuma nilipewaga kama doz lakn zinapunguza tu
 
Dah shukran vyakula ambavyo nimekatazwa kula ni vingi wali dagaa nyanya

vyakula visivyonisumbua ni
UGALI NA VIAZI VISIVYOKUA NA VIUNGO ILA CHUMVI TU NA MAFUTA ILA VINGINE NAFOSI labda dawa zinachagua mana omeplazo nameza kila tumbo likiuma nilipewaga kama doz lakn zinapunguza tu
Pole, achana na vyakula vyenye gas kwanza! kuna dawa min -me aliniandikia maybe zitakusaidia!
 
Tafuta ubuyu mweupe ambao haujatiwa rangi, tengeneza juisi simple kwa kuchanganya na maji, kunywa kila siku. Inasaidia kupunguza maumivu na symptoms kwa kiasi kikubwa. Mtu ninayemfahamu aliyetumia hii juisi alianza kuona matokeo baada ya kunywa hiyo juisi kila siku kwa muda wa mwezi mmoja, ni mtu ambaye yuko serious kufuatilia afya yake na hadi leo kunywa juisi ya ubuyu ishakuwa sehemu ya maisha yake. Kuhusu kupona asilimia 100 sijaweza kujiridhisha kuhusu hilo.
 
Hapa alijaribu kutengeneza heligo kit ya bei rahisi , hii inaua bacteria wa h pylori tu ila vidonda bado vipo pale pale
Mkuu , hiyo sio Heligo Kit ,Heligo Kit haina flagyl. Hiyo ni regime tofauti na inakubalika kama daktari akiona inafaa kwako kutumia.
 
Tatizo hamleti mrejesho ngoja nikae sehemu nitulie ntakwambia na alafu kwanza ni vya mda gani?
 
Msaada wenu wakuu kwa yeyote aliewahi kuugua vidonda vya tumbe na akapona atuambie alitumia dawa gani mana vinanisumbua balaa""please msaada wenu wakuu pia hata hujawahi kuugua vidonda vya tumbo toa maoni yako kama una dawa yeyote unayoijua iwe ya aisili au ya

MSAADA WENU
wakuu

CHANGIENI
Mkuu, dawa ipo na unapona kabisa, niko mwanza nicheki katika email yangu nitakusaidia kwa gharama ndogo, wengi mno nimewasaidia
edsuinvestment21@gmail.com
 
Achana na matapeli

Tumia Amoxicillin, cap 2×3
Tumia Fragily cap 2x3
Omoplazo 1×2

Tumia hii dozi within 14 days

Utapona dozii haitoweza kuzidi elfu 10.
 
Tafuta asali mbichi,changanya na mafuta ya kondoo asubuhi kabla ujala chochote piga vijiko vitatu kishaa kaa kidogo ndio upige mswaki na breakfast,

Nimepona vidonda
 
Nyanya chungu, garlic, ginger, cabbage, carot, nazi na asali mbichi.
{¡} blend upate juice yake then mix with asali kunywa kikombe kimoja asubuh lisaa limoja kabla ya kula chochote mchana hivyo na jion hivyo hivyo.
A>cabbage kubwa ikate mara mbili utumie nusu yake kwa cku moja, ratio ya huo mchanganyiko uwe wa kutosha saumu tumia kizima. Asali unaweka tu kias ili kuleta ladha ili juice ishu tumboni
B>fanya hivyo kwa wiki mara nne mfano kama umeanza jmos-j3-j5-fri yaan unavuka cku moja moja.
{¡¡}achana na majani ya chai? Kahawa, juice za viwandani, soya sauce, pombe, haya ma azam yote na energy. Kunywa juice ya kawaida ya hizi juice za parachichi, yaan ambazo utatengeneza wewe kwa kublend matunda,
Kuhusu chai kunywa ya mchai chai, tangawizi, mdalasini na sio ya majani ya rang haya meusi,
Kunywa maji mengi na ule kwa mda na ukipata rosela kunywa. Na uwe unapata mda wa kupumzka after kula ili digestion itake place
 
Back
Top Bottom