Msaada wenu waharaka wakuu hawa aliexpress siwaelewi kabisa, sijui ndo napigwa hivo.

Huwa wanakata 18%, Sema si wamefuta kodi za simu?
Tafuta tu hio 18%. Ngoja wajuzi waje zaidi.
Unaona kwa mfano ukununua vocha ya 1,000 hua wanakwambia sh.152 imekatwa Kama VAT,ndio inapatikana kwa kuchukua 18/118×1000=Tsh.152
Hesabu hufanyika kwa kuangalia invoice value/ declared value iliyoandikwa kwenye mzigo/document husika

Tutumie huu mfano

IMPORT DUTY vs VAT

#1) A = Bei ya kitu pamoja na ghalama ya kusafirishia. [ 175 + 146 = $321 ] , $75

#2) A X 25%= B ( kiasi utakachotozwa kama IMP ) [ 25% ya $321 = $80 ]

#3) A + B + (EX + CPF + RDL) = C (itatafutwa asilimia 18 yake) [ 321 + 80 = $401 ]

#4) C X 18% = G ( Ni kiasi cha VAT utakachotozwa ) = $72

Keywords

- IMP - Import Duty ( 25% ya A )

- EX - Excise Duty ( _% ya A )

- RDL - Railway Development levy ( 1.5% ya A )

- CPF - Customs processing fee ( 0.6% ya A )

- VAT - Value Added Tax ( 18% ya C)

Kiasi cha tozo Utakacholipa: B [KODI] + G [ VAT ] = 80 + 72 = $152

NB:

Iwapo kodi imefutwa hapo kwenye hesabu ya B weka ZERO
 
shukrani kwa ufafanuzi mzuri mwalimu.
 
Back
Top Bottom