Msaada wenu waharaka wakuu hawa aliexpress siwaelewi kabisa, sijui ndo napigwa hivo.

Nishamweleza ata inbox mdogo wangu anawenge tu kama lile langu ,unakumbuka note 10 yangu nilivyokusumbua inbox utadhan nilianza kununua sim hio tu
mkuu naomba unipe experience yako kidogo kuhusiana na maswala ya TRA vipi wewe kwa bidhaa kama yangu makato hurange kwenye shi ngapi hivi.
 
wakuu habari hivi kutokana na uzoefu wenu mshawai kukatwa kodi na TRA kwa kuagiza simu hususani kama yangu hapo juu ili niandae mwili na roho ilikupambana na TRA.
nimewahi agiza simu 3 wakati tofauti ,moja ilidaiwa kodi nyingine mbili hazikudaiwa kodi. same to other items sometimes yes sometimes no
 
wakuu habari hivi kutokana na uzoefu wenu mshawai kukatwa kodi na TRA kwa kuagiza simu hususani kama yangu hapo juu ili niandae mwili na roho ilikupambana na TRA.
Ndiyo,siku hizi wanakata kodi na kama hujui jinsi ya kucalculate wanakupiga kodi kubwa ya uwongo.
 
shukrani mkuu, kumbe sio 18/100?
Unaona kwa mfano ukununua vocha ya 1,000 hua wanakwambia sh.152 imekatwa Kama VAT,ndio inapatikana kwa kuchukua 18/118×1000=Tsh.152

Lkn ukifanya 18/100×1000=Tsh.180 ambayo Ni wrong mkuu
 
Unaona kwa mfano ukununua vocha ya 1,000 hua wanakwambia sh.152 imekatwa Kama VAT,ndio inapatikana kwa kuchukua 18/118×1000=Tsh.152

Lkn ukifanya 18/100×1000=Tsh.180 ambayo Ni wrong mkuu
Hapo Ume Tafuta VAT kwenye bei ambayo imeshatozwa VAT. Simu haijatozwa VAT bado hivyo una Tafuta tu hio 18%. Ngoja wajuzi waje zaidi.
 
Back
Top Bottom