Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 1,013
- 815
Urefu katika mita au sentimita??Aah umenikumbusha inaitwa body mass index(BMI) ambayo n uzito kugawa kwa urefu na inasemekana isiwe chin ya 18 sa mwenzio pamoja na wembamba wangu nilcalculate hyo BMI nkakuta nna 20 ushee nkasema potelea mbal
Halafu wakaludi tena duniani au siyo mkuuu??[emoji16][emoji16][emoji16]Unashangaa chuo tu wakati kila mmoja humu Jf ana gari,ana nyumba ,ana pesa za kutosha yani humu Jf watu wamepitia kila kitu hadi mbinguni wamefika
Lakin mkuu vyuo vipo vingi mbonainamaana humu jf kila member amesoma mpaka chuo?
Wacheni ulimbukeni wa kutaja vyuo tu pasi na ulazima
I second you. Mwanaume mwembamba kwakweli hapana, mwanaume angalau ajazie jazie.Ila hata mimi mwanaume mwembamba sana simtaki..
Ingekuwa inawezekana ningekupunguzia nyama zangu kidogo
Mita kakaUrefu katika mita au sentimita??
Njoo tu mkuuHaaaa Mkuu nije
Ila angalau uwe mrefu maana mm kashotiiNjoo tu mkuu
Dah!Asubuhi kunywa Lita moja ya mafuta ya kupikia,mchana hivyo hivyo,na jioni kwa muda wa siku tatu pekee kamaa hujamfikia marehemu komba njoo unipm
Mzigua nakuangalia kwa karibuuuNapenda vikubwa
pointNadhan mtu akikupenda ama kukubali kuwa na ww. Anakuwa ameshakuona utakuwaje. Sasa akama anakuacha sababu ni mwembamba huyo hakukupenda, basi alikuja na malengo yake.. lakin hayakutimia.
Ndio akili za baadhi ya dada zetu hawa.
Hahahahahaaaa, nimecheka kwa sauti balaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tembelea duka la kilimo na mifugo nunua vidonge vya Multivitamin vya nguruwe, meza kimoja asubuhi na jioni.
NB: Andaa chakula cha kutosha kabla na baada ya kumeza. Meza kwa mwezi mmoja then njoo utupe mrejesho