Msaada wenu unahitajikia PC imepandisha maruhani

Msaada wenu unahitajikia PC imepandisha maruhani

dawa yenu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
2,833
Reaction score
3,753
Heshima kwenu wadau,
Ni hivi nina laptop aina ya Lenovo siku ya jana ilianza tabia zisizo faa. kila nikiiwasha display inakuwa nyeupe harafu baada ya muda inatokea rangi ya puple iliyochanganyika na nyeusi, yaani inakuwa kama wino hivi! Nikiiacha zaidi diplay inagawanyika upande mmoja unakuwa na rangi nyeupe na upande mwingine rangi nyeusi! Hili suala linaninyima raha wakuu, yeyote mwenye kulijua hili tatizo naomba ushauri wake!
asanteni sana.
 
Kma ni maruhani tu.... ipeleke kwa Dokta Manyau nyau ikapigwe @lamri ingawa iwe siri kova na vick mketema wasijue. maana utaambulia kupata kashi kash bure.
 
Kma ni maruhani tu.... ipeleke kwa Dokta Manyau nyau ikapigwe @lamri ingawa iwe siri kova na vick mketema wasijue. maana utaambulia kupata kashi kash bure.

Hahahahaha mkuu hapo nimetumia lugha ya picha tu! Ukweli sielewi imekuaje mpaka inanifanyia hivi naiona kama ina maruhani eti?!
 
nicheki kwa 0762647575 kama upo dar problem ni motherboard
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom