Msaada wenu unahitajika kuhusu simu

msigazi

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
456
330
Wakuu habari za leo

Kuna simu ya mteja alileta chaji pia kufunguliwa Email
Nikajaribu kuifungua ikawa inakataa kulog in

Bahati mbaya nikapata dharula ya kwenda msibani
Kibandani nikaachia KIJANA
Nimerudi nimekuta simu hiyo Aina ya Samsung j1 haipo
Nimejaribu kumuulizia KIJANA anasema hakumbuki kuwa kulikuwa na j1 humu kibandani

Nimerudi tu huyo jamaa mwenye simu akaijia nikamuambia simu yake imepotea
Akaniambia iliyopotea Ni simu yangu
Yake ipo

Naomba msaada wenu wakuu
Nipate kuipata simu
Yaani hapa nilipo Raha Sina kabisa

MSAADA WENU unahitajika haraka sana.
 
Nione nikuelekeze kwa sangoma, mwizi wako utamuona kwenye kioo (live) na waweza amua afanye ninj.
 
kama ungekuwa angalau umefanikiwa kulogin na hio email ungejaribu kuitrack na email. hapo option labda kama ana box lenye imei ya hio simu muende polisi.
 
Back
Top Bottom