Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,418
- 4,113
- Thread starter
-
- #21
Mbona unaweka wingi wakati kuna watu nawasiliana nao vizuri na hata alipo mganga nishaelekezwaPole sana Mary Diana. Ila wewe mwenyewe ulisema kuna watu wanajipa umuhimu kwenye maisha ya watu. Sasa naona hata tukikusaidia, huenda tukaonekana tunajipendekeza au tunajipa nafasi ambayo hatuna.
Tumeheshimu ulichosema, na hatutaki kujilazimisha kwenye maisha ya mtu ambaye tayari ametuonyesha kwamba hatuhitajiki.
Wee Acha tuVishandu hao aisee pole sana,
Hawanisemeshi macho Yao ya husuda wanadhani nimewafanyia mchezoInabidi wakuelewe omba Mungu uwe unaeleweka kwa kila jambo ni changamoto tu imekupata
Afanye kuntafta.Warld uchawi anaotumia kupata epic hatoboi hapa???π
MmmhKama hicho kidogo ulichopoteza unataka kwenda kwa Mganga,
Basi huko kwa Mganga unakotaka kwenda utaibiwa kila kitu na utalia kilio ambacho hakuna wa kukubembeleza.
Hesabu hasara na uendelee na Maisha yako, Pesa zinatafutwa.
Kama umeona Kichuguu umestuka hvyo, basi huko utaenda kuuona Mlima na utakufa kabisa - Mulin
Mganga kabisa wewe πππππ nimespin juzi ile ya jero wamenipa messi 109 na neymar 105
Pochi yenyewe ina Thamani ya 35000
Pia kulikuwa na simu Samsung S22,pesa tasilimu 780000 nilizoagizwa nikanunue Mahitaji ya nyumbani pamoja na
Cheni niliyopewa na mama yangu pamoja na vitu vingine
Hakika Mungu yupo kama unasema unachokimaanisha mioyoni mwao huwa na aman lkn kama unadanganya na ni tabia yako inajirudia basi wataendelea kukutilia shaka na ukiwa na mabadiliko kidgo tu utahukumiwaHawanisemeshi macho Yao ya husuda wanadhani nimewafanyia mchezo
Kabisa πAhahaaaa...! Kaanza kuchangamka?
Kiukweli sijawahi pata player wa maana kwenye kuspin ndio hawa tuMganga kabisa wewe ππππ
Toa msaada
Hao wanathamani kuliko kikosi chenye mbuziKiukweli sijawahi pata player wa maana kwenye kuspin ndio hawa tu
Ila JF.
Shiling 780k ninadhani ni ilikuwa kwaajili kununua mahitaj ya home . Mostly Chakula.
ila mbona ni nying sana?.
Au mko kama bwen?ππππ.
Kuna jamaa kanicheki anipe chenye 2230 tubadilishane nimpe changu na ukiangalia kikosi chake ni kizuri kuliko changu
Mahitaji ya home inaweza kuwa fridge ama some other electronic equipment
Ama ukisikia mahitaji ya home unadhani ni nyanya na vitunguu baaas?
Yaan uende kununua Fridge useme naenda nunua mahitaji ya homeπππ.
Au pasi, au TV nk
Mganga karudisha kuku Kazitunayopole marry search ule uzi wa waganga wa kienyeji walokua wanalalamika kuhusu kilipishwa pesa ya Mwenge unaweza kuwapata huko