Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,418
- 4,113
Corrie de killer na Mr Devil ni waganga wazuri sana wanaweza kukusaidia.Shikamoon wakubwa zangu.
Juzi jumamosi nimeibiwa Pochi yangu na watu waliokuwa kwenye bodaboda Maeneo ya Tabata bima
Kwakweli Kwa umasikini wangu nimeumia Sana.
Pochi yenyewe ina Thamani ya 35000
Pia kulikuwa na simu Samsung S22,pesa tasilimu 780000 nilizoagizwa nikanunue Mahitaji ya nyumbani pamoja na
Cheni niliyopewa na mama yangu pamoja na vitu vingine
Sasa toka juzi familia imeninunia hakuna anayeamini nimeibiwa na Mimi hapa msaada wenu naomba nielekezwe mganga wa maana sina utan hata mkoani naenda sina huruma PM iko wazi namba ya mganga nataka
Mmmh
Eti eeeh lakini familia yangu inanilaumSalama mkuu pole sana kwa changamoto mwachie Mungu tu. Mambo ya waganga hayo achana nayo
Warld uchawi anaotumia kupata epic hatoboi hapa???😃
😂 nimespin juzi ile ya jero wamenipa messi 109 na neymar 105Warld uchawi anaotumia kupata epic hatoboi hapa???😃
Kama hicho kidogo ulichopoteza unataka kwenda kwa Mganga,Sasa toka juzi familia imeninunia hakuna anayeamini nimeibiwa na Mimi hapa msaada wenu naomba nielekezwe mganga wa maana sina utan hata mkoani naenda sina huruma PM iko wazi namba ya mganga nataka
Kijana umeanza kuchangamka,unakomenti uzi bila kuitwa?
Inabidi wakuelewe omba Mungu uwe unaeleweka kwa kila jambo ni changamoto tu imekupataEti eeeh lakini familia yangu inanilaum
Ahahaaaa...! Kaanza kuchangamka?Kijana umeanza kuchangamka,unakomenti uzi bila kuitwa?