CRDB mzazi ndo inakuwa fasta kuliko nyngne wakubwa walioanza kupewa miaka ya nyuma ndo wameliona hlo na mm katka kuwaulza wamenambia ni hyo benk ndo ina aceess xana
Kwa kweli inategemeana na Banker wa Chuo ulichomo, Vyuo vyote sasa vinatakiwa kuwa na Loan Account ambayo mikopo yote ya wanafunzi itapitia uko, Kwa msingi huo wale wenye account zao na banker wa hiyo account ndio watakaopata hizo pesa haraka.
Hapo kabla Waliokuwa wakipata haraka ni wale ambao account zao zilikuwa kwenye banker wa account za chuo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.