Jama socket switch huwa zinaungua kila nikiweka hita kwajili ya kupasha maji je nifanye nini? Kwa sasa natumia eneo lenye xtension sijaona tatizo bado sijajua kama nayo itakuwa na tatizo! Msaada plz! Nifanyaje!
hita inatumia umeme mkubwa so inategemea waya uliotumika kufunga hio switch kama wametumia nyaya nyembamba lazima zitazingua hivo hivo.
Pia zipo socket za kichina ambazo ukieka hita zinayeyuka maana zimetengenezwa kukidhi mahitaji madogo tu
Ushauri wangu mimi ni bora kua na socket za kawaida na socket moja kwa ajili ya matumizi makubwa. Mara nyingi socket hio itakaa jikoni matumizi yako ya hita na jiko la umeme yafanyike kwenye hio socket.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.