Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,536
- 2,187
Kwa hiyo ukifika saa 6 ujaambiwa unajilipua? Jamani ebu msaidieni huyu jamaa kabla ya saa 6
Mtumie picha yako{email} mtu mmoja wakuitwa "PAW" au "INVISIBLE a.k.a ROBOT" then watafanya hvyo utakavyo.
AHSANTE
Unatakiwa kubonyeza hiyo button Dark City anaoonyesha ila itategemea sana na simu kama itaweza kuupload picha, maana simu nyingi za aina hiyo hauwezi kubrowse files kutoka kwenye browser, pia inategemea na browser unayotumia so ni ngumu kukupa ushauri kamili.
Pia kama simu yako ina uwezo wa kuituma picha kwa njia ya email unawezsa kuituma kwenda upload@imgur.com hii itaipload picha yako kwenye service zao kisha itakupa link, link unaweza kuibandika humu.
Hauwezi ku attach picha kwenye mobile version. Watumie mods hizo picha ili wakusaidie kuzi attach.
Tumia email
support@jamiiforum.com