Chomeka simu yako kwenye PC kwa USB [Ili iwe inachajiwa wakati inatumika]wakuu wenye ujuzi na hili jambo nilikuwa naomba msaada wenu ni vipi naweza kutumia huawei ascend y300 kama modem ili niweze kuendelea kula bata sababu tokea basi letu limepata pacha ni balaa tupu natapatapa tuu.
plz msaada wenu wajameni.