Sehemu niliyokuwa natafuta kazi imesimama kwa muda usiojulikana.Endelea kukusanya huko huko ulikozipata hizo
Mkuu uza viatu vya kike. Vinauzika, vina faida na haviozi.Sehemu niliyokuwa natafuta kazi imesimama kwa muda usiojulikana
Bero moja la mtumba bei gani kiongoziMkuu uza viatu vya kike. Vinauzika, vina faida na haviozi.
Nguo zinazouzwa kwa mabalo ni mitumba tu. Hivyo utanunua kimoja kimoja.bero moja la mtumba bei gn kiongoz
Sehemu niliyokuwa nafanya kazi, kazi imesimama kwa muda usiojulikanaSehemu niliyokuwa natafuta kazi imesimama kwa muda usiojulikana.
Ok wazo zuri.Nguo zinazouzwa kwa mabalo ni mitumba tu. Hivyo utanunua kimoja kimoja
Tafuta connection china na india,ulete frames za miwani ukiwa unatafuta dokta wa macho akupe makadirio ya machine ya kupima macho na muingie JV, ukinda ule tatizo lao kubwa tatizo la macho utapiga hela safi sana.Habar wana JF
Mimi ni graduator wa chuo kimojawapo jijini Mbeya mwaka wa jana, kutokana na tatizo la ajira niliamua kutafuta mtaji kwa kufanya kazi vibarua na nimefanikiwa kukusanya kiasi cha tshs 380000.
Hivyo naombeni ushauri nifanye biashara gani ambayo itanipa faida nzuri kwa mtaji wangu huo.
Kwetu ninaishi jijini Dodoma na ndo mahali ambapo nimepanga nifanyie biashara, ushauri mazingira+aina ya biashara, karibuni kwa ushauri wana JF.
Wazo zuriTafuta eneo lenye msongamano wa watu,Kodi eneo la baraza mbele. Weka meza na viti, uza hapo chai maziwa na juice.
Wazo zurifanya local biashara ya juice vyuoni haswa Sjut na udom unaoitisha mwenyewe amini kuna dada alikuwa anachukua 30 kwa juice, japo matunda mtihani muda mwingine....
Fanya biashara ya mihogo na nyama ya kuku mitaani kikuyu, area c, nkuhungu etc.
Fsnya biashara ya viatu vya kike vizuri na vya kisasa toa dar kariakoo kwajumla uje uuze hata elfu 5....kiatu cha elfu 1500 utaiza elfu 5 cha elfu 3 utauza 7500 ndivyo wanavyofanya.
Hao watu wote ni pesa mkuu,Habar wana JF
Mimi ni graduator wa chuo kimojawapo jijini Mbeya mwaka wa jana, kutokana na tatizo la ajira niliamua kutafuta mtaji kwa kufanya kazi vibarua na nimefanikiwa kukusanya kiasi cha tshs 380000.
Hivyo naombeni ushauri nifanye biashara gani ambayo itanipa faida nzuri kwa mtaji wangu huo.
Kwetu ninaishi jijini Dodoma na ndo mahali ambapo nimepanga nifanyie biashara, ushauri mazingira+aina ya biashara, karibuni kwa ushauri wana JF.
Kupata mawazo zaidi ya biashara pitia uzi huu: Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?
Kwa mda gan umekusanya hii pesa? Then unakaa home au unajitafutia mwenyewe? Unaweza kuta unachofanya ndio Bora zaidi. vibarua Kama vp boss?nimefanikiwa kukusanya kiasi cha tshs 380000.
Yap wazo zuri, ajue kupoint viatu vizuri, ajue chimbo mfano dsm pale karume aende sa 9 usiku, pia vya watoto below 10 years vinaenda. Biashara pia n kujikusanyia wateja mfano ukienda kupoint hakikisha watu baadh wamekuagizia au kuwa na shauku na mzgo wako, piga picha product zako hata Kama ushauza popote waonyeshe watu pia bei rafiki n muhimu, mtaji hauliwi heshmu pesa, mda, ubunifu mfano kwenye mitandao ya kijamii jikuze, minimize matumiz sanaaa mfano Arusha to dsm 33000 luxury bus Ila kwa mtaji wako panda fuso au treni, minimize mda wa kukaa dsm kuchukua mzgo chap urud location yako ya biashara. NmechokaaaMkuu uza viatu vya kike. Vinauzika, vina faida na haviozi.