Msaada, wazee wa DSM ni akina nani

Msaada, wazee wa DSM ni akina nani

Magu aje kivingine, atafute kukutana na mikutano ya wasomi kama vile chuo. Mikutano na vizee ni utamaduni wa hovyo wa waliomtangulia.
 
Magu aje kivingine, atafute kukutana na mikutano ya wasomi kama vile chuo. Mikutano na vizee ni utamaduni wa hovyo wa waliomtangulia.
Mkuu sidhani kama kukutana na wazee ni kitu cha ovyo. Kikubwa ajitahidi kukutana na makundi mbalimbali kutegemea na nafasi yake. Makundi ni mengi lakini yanaweza kuunganishwa na kuwa na makundi machache yenye wawakilishi kadhaa kutoka kila kundi dogo.
 
Siku hizi ukishakuwa na dala utaitwa mzee, hata kama una miaka 14...
 
Mkuu sidhani kama kukutana na wazee ni kitu cha ovyo. Kikubwa ajitahidi kukutana na makundi mbalimbali kutegemea na nafasi yake. Makundi ni mengi lakini yanaweza kuunganishwa na kuwa na makundi machache yenye wawakilishi kadhaa kutoka kila kundi dogo.
Hapo kweli, wazee ni tunu, si vema kuwakataa... umesema vema
 
unapozungumzia chimbuko la wazee wa DSM unaanzia hapa kwa wazee hawa
c7f8f7799560be4cb366911d602ed835.jpg

waliokuwa chimbuko la vuguvugu la kuwania uhuru na utaratibu huu wa kuzungumza nao aliuazisha MWALIMU NYERERE akaurithisha kwa maraisi wengne waliomfatia

Kutoka kulia waliosimama. 1. Abdallah Shomari
(Tandamti no. 3 )2. Nassoro kalumbanya (simba
str.) 3. Said Chamwenyewe (Aggrey/Congo str.)
4. Mtoro Ally (Muhonda str.) 5. John Rupia
(Misheni kota) 6. Julius Nyerere( Pugu
Sekondari ) 7. Said Chaurembo (Congo/
Mkunguni str.) 8. Jumbe Tambaza( Upanga ) 9.
Sheikh Suleiman Takadir (Mafia /Swahili) 10.
Dossa Aziz ( Mbaruku /Somali kipande ) 11.
Mshume Kiyate (Tandamti) 12. Juma Sultan
(Kitchwele karibu na kanisa dogo ) 13. Maalim
Shubeti (Masasi/...

nadhani hapo utapata picha wazee wa dsm ni watu gani na wana heshima ipi ktk serikari ya TANGANYIKA(sio tanzania mana tanzania ishakufa kitambo)
Hio List imejaa WAISLAMU watupu.

Halafu yanakuja majitu yasiojua historia ya Nchi hii na kuanza kutukana Waislamu.

Mnfnssssssss. Wagala nuksi sana.
 
mimi naona hao ni wazee wa ccm wccm kama ilivyo kwa vijana wa ccm uvccm
 
Habari wanajukwaa..

Nimekuwa nikijiuliza kila siku, hivi hawa wazee wa DSM ni akina nani zaidi!??

Wana mahusiano gani na serikali, maana nimesikia kuwa mh. Dk. JPM naye atazungumza nao.

Na kama ni wazee wa kawaida tuu kama walivyo wazee wengine, sasa kwa nini iwe wazee wa DSM tuu!?

Kwa nini kusiwe pia na vikao na wazee wa mikoa mingine!?

Ahsante, karibuni tuelimishane...
Anyone above 70 having a permanent establishment in Dar es salaam.
 
Hata bila kuangalia majina ya hawa Wazee we huko Bukoba Umeshawahi kukutana na Mgalatia kafuga ndevu kavaa kanzu na Kofia?

Hivi wewe kuitwa Mzito basi umekuwa Mzito kuanzia kichwani mpk chini sio?
haaahaaaaaah mkuu mbavu zangu mie, mzito amekuwa mzito kaa jiwe, huwa anajitoa ufahamu huyo, KICHWA KIZITO CHA KABWELA, bora angelijiita mzito lofa
 
Back
Top Bottom