pharao
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 405
- 746
Wakuu kuna fundi, Amefanya Wiring kwenye nyumba ila kuna kitu naona kama ni kigeni naombeni msaada kujua kama ni sawa au Kuna shida.
Kwa kawaida switch Huwa na matundu Matatu tundu moja juu na mawili chini, sasa hapa ikitokea umeconect tundu la juu la switch na tundu la chini moja, Socket Breacker inazima umeme nyumba nzima hapohapo, Ila Ukiconnect kwenye matundu mawili ya chini kama kawaida umeme haukatiki.
Je kitaalamu hii ipo sawa au kuna mauzauza.