Wacha kukwepa una mpenzi au huna mpenzi? Unakimbia swali hili...fata ushauri wa Nyani Ngabu ni mjuzi wa mambo hii kama mambo ya ukoko wa ugali na limao is not option.
Mpenzi wangu ana allergy na harufu za mafuta na perfume. Je atumie deodorant gani isiyo na harufu kali ili kuondoa harufu ya jasho??? Kama kuna deodorant zisizo na harufu kama mafuta ya vaseline hivi???