Msaada waungwana!!!

Msaada waungwana!!!

Hellow....

Mpenzi wangu ana allergy na harufu za mafuta na perfume. Je atumie deodorant gani isiyo na harufu kali ili kuondoa harufu ya jasho??? Kama kuna deodorant zisizo na harufu kama mafuta ya vaseline hivi???

Dada H C/O charminglady!!!!!

tatizo siyo harufu kali ya pafyum ,tatizo litakuwa kuna contents zinazokuwa kwenye hiyo pafyum ndiyo inamletea hayo matatizo..... cha muhimu ni ajaribu products mbalimbali kwa kadri awezavyo mpaka apate ambayo haitamdhuru na zaid asipendelee cheap products.

note; inaweza ikawa siyo allergy ,bali ni irritation inayoletwa na manukato ya aina fulani.
 
deodorant atumie Brut si kwamba haina harufu, harufu ipo ila ya chini sana,,pafyum atumie Kenzo Amour ya wanaume au Issey Miyake no 1. zina harufu ya chini sana haiwez kumuumiza. pole, nimependa coz unamjal mpenz wako,. good, si kumkimbia na kusema ana kikwapa deal nacho mama

ameline sio mimi... hebu soma vyema hapo mwishoni!!!
 
Last edited by a moderator:
Hellow....

Mpenzi wangu ana allergy na harufu za mafuta na perfume. Je atumie deodorant gani isiyo na harufu kali ili kuondoa harufu ya jasho??? Kama kuna deodorant zisizo na harufu kama mafuta ya vaseline hivi???

Dada H C/O charminglady!!!!!

kabla ya hapo ya wewe kuonana na kuwa wapenzi alikuwa anatumia nini?na je ulimkuta akiwa bikira hata shule alikuwa ananuka kikwapa
 
Hellow....

Mpenzi wangu ana allergy na harufu za mafuta na perfume. Je atumie deodorant gani isiyo na harufu kali ili kuondoa harufu ya jasho??? Kama kuna deodorant zisizo na harufu kama mafuta ya vaseline hivi???

Dada H C/O charminglady!!!!!

Body shops hazina tatizo kiafya na hazina allergy
 
Hellow....

Mpenzi wangu ana allergy na harufu za mafuta na perfume. Je atumie deodorant gani isiyo na harufu kali ili kuondoa harufu ya jasho??? Kama kuna deodorant zisizo na harufu kama mafuta ya vaseline hivi???

Dada H C/O charminglady!!!!!

Kuna unscented deodorants na unscented anti-perspirant deodorants. Sina hakika sana kama zipo kwenye maduka hapo Dar lakini ni bora walau kujaribu kwenye yale maduka 'makubwa' ya madawa.

Mifano ya aina hizo za deodorants bofya hapa.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hellow....

Mpenzi wangu ana allergy na harufu za mafuta na perfume. Je atumie deodorant gani isiyo na harufu kali ili kuondoa harufu ya jasho??? Kama kuna deodorant zisizo na harufu kama mafuta ya vaseline hivi???

Dada H C/O charminglady!!!!!

duuh! una mpenzi naww?
 
Last edited by a moderator:
Hellow....

Mpenzi wangu ana allergy na harufu za mafuta na perfume. Je atumie deodorant gani isiyo na harufu kali ili kuondoa harufu ya jasho??? Kama kuna deodorant zisizo na harufu kama mafuta ya vaseline hivi???

Dada H C/O charminglady!!!!!

kwakuwa ana allergy na hizo harufu mimi kuna njia mbadala ambayo naifahamu hiyo husaidia kupunguza kama sio kuiondoa harufu ya jasho
Ni hivi baada ya kupika ugali ile sufuria aliyopikia ailoweke na maji masafi kwa muda wa masaa 24 kisha yale maji anawie sehemu za makwapani lakini ahakikishe msitu wa saohill umefyekwa anaweza akafanya hivyo kwa muda wa siku tatu
au maganda ya limao ajisugue nayo sehemu za makwapani nayo pia husaidia kuondoa harufu ya jasho kali
NB:Ni muhimu kufyeka msitu maana nieona baadhi ya wanaume hawapendi kufyeka misitu yao
 
If you don't mind naomba ufafanue hizo dawa zako zinavyofanya kazi.
Hapo kwenye blue anaweza kuvumilia kunuka ukoko wa ugali kwa siku tatu, that is fine baada ya hapo inakuaje? kadhalika kwenye maganda ya limao.
Zipo deodorant ambazo hazina harufu, bora angenunua hizo.
Pia inasemekana kuna baadhi ya vyakula vinaongeza harufu ya kwapa, angejaribu kujifanyia research.
 
kwanza kabisa naomba ujue hivi hizi sio dawa zangu na mimi nilisoma mahali
pia sijasema anawie maji ya ukoko kwani anaweza akayachuja na akanawa yakiwa hayana chembe ya ukoko
sizijui hizo deodorant ndo maana nikatoa haya mawazo yangu
na huu ni ushauri tu anawezza asiufanyie kazi akatumia baadhi ya deodorant ambazo nmeona watu huko juu wamerecommend
baada ya kutumia hayo maji au maganda ya limao jasho linapungua kwa kiasi ambacho anaweza asihitaji deodorant maana si wote watumiao deodorant pia usafi ni muhim maana mwingine ana jasho kali halafu bado hafyeki msitu
 
Hellow....

Mpenzi wangu ana allergy na harufu za mafuta na perfume. Je atumie deodorant gani isiyo na harufu kali ili kuondoa harufu ya jasho??? Kama kuna deodorant zisizo na harufu kama mafuta ya vaseline hivi???

Dada H C/O charminglady!!!!!
atumie ndimu..au limao..kama vipi...
 
tatizo siyo harufu kali ya pafyum ,tatizo litakuwa kuna contents zinazokuwa kwenye hiyo pafyum ndiyo inamletea hayo matatizo..... cha muhimu ni ajaribu products mbalimbali kwa kadri awezavyo mpaka apate ambayo haitamdhuru na zaid asipendelee cheap products.

note; inaweza ikawa siyo allergy ,bali ni irritation inayoletwa na manukato ya aina fulani.

Kaka sasa mpaka amalize kujaribu products zote hatakuwa mzima kweli? mimi nahisi wewe huijui allergy, unaisikia tu
 
Back
Top Bottom