Msaada waungwana!!!

Msaada waungwana!!!

Mimi sina mpenzi... Labda umeelewa vibayq. Hujaona hapo mwisho nilivyomalizia...

"Dada H C/O charminglady???"

Wacha kukwepa una mpenzi au huna mpenzi? Unakimbia swali hili...fata ushauri wa Nyani Ngabu ni mjuzi wa mambo hii kama mambo ya ukoko wa ugali na limao is not option.
 
....Tumia Sanex Products, iwe ni shower gel, deodorant spray, anti pespirant roll-on etc

Hellow....

Mpenzi wangu ana allergy na harufu za mafuta na perfume. Je atumie deodorant gani isiyo na harufu kali ili kuondoa harufu ya jasho??? Kama kuna deodorant zisizo na harufu kama mafuta ya vaseline hivi???

Dada H C/O charminglady!!!!!
 
Aende Forever Living watamsaidia.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom