msaada waungwana

msaada waungwana

siemens c25

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
217
Reaction score
45
jamani mimi laptop yangu haionyeshi marafiki zangu walio online lakini mwazoni nilikuwa nawaona je waungwana tatizo ni nini
 
kama unawaona lakini wanakuwa Faint ni issue ya Slow Connection....kama huwaoni kabisa ni issue ya Browser unayotumia
 
Mimi naona tatizo ni la both connection speed pamoja na browser unayotumia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom