PingPong
JF-Expert Member
- Dec 21, 2008
- 926
- 160
Wakuu naomba mnisaidie kunipa shule jinsi ya kurestore OS ya zamani, coz kuna vitu nilivitunza kwenye desktop so nilipoiformat vikapotea na bado navihitaji. Nilliwahi kusikia kuwa inawezekana kuviona tena vitu ulivyoviweka kwenye desktop kwa kufanya maujanja flani, kwa hiyo naombeni msaada wenu wakuu kwa anaefahamu. Os yangu ni windows xp hata ya zamani pia ni hiyohiyo.