Msaada waungwana, naomba nisaidieni tafadhalini

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,146
Reaction score
887
Msaada tafadhali mwenye maujuzi... SIMLOCK block unlock reset KEY. Simu ni Huawei(IDEOS) MODEL: U8150-D yenye IMEI: 355093044372635.
 
njia ambayo italudisha simu iwe kama ilivyo nunuliwa dukani ni kumake hard reset je uko teyari?

Niko tayari mkubwa.
okay fanya hivi zima simu kisha bonyeza green(call) button volume up na power on button itawaka kwenye recovery mode hapo chagua wipedata/factory reset simu itafuta kilakitu hadi password itarudi kama ilivyo toka dukani,
 
Nimejaribu Mkubwa imekuwa kama ilivyotoka dukani lakini niweka line inataka UNLOCK KEYS, Pia hii sim ilikuwa inatumia laini ya TiGO tu, nilipoweka Voda ndio ika Block na kuhitaji hizo Unlock keys hata nikirudisha ile line ya Tigo. Nifanyeje?
 
nenda kariakoo kuna mafundi wana fanya kazi hiyo ya ku unlock simu za tigo
 
Back
Top Bottom