Msaada wasomi kuhusu Admission letter UDOM kwa Diploma

memory card

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
252
153
Kuhusu admission letter kuna aliechaguliwa Diploma UDOM na amepata admission letter mbona kila nikiangalia kwa profile ya dogo hamna chochote na muda unasonga maana nasikia Degree zishatoka. Isije ikawa profile ya dogo inashida halafu nashangaaa tu.
Screenshot_20190921-235218_WPS%20Office.jpeg
 
mkuu tupo wengi ata me profile langu kila cku nangalia lakn amn chochot kwnz tuwackilizie labd
 
Kwa waombaji wote wa Diploma kupitia vyuo husika lazima Vyuo hivyo vipeleke majina ya waombaji NACTE kwa ajili ya uhakiki. Uhakiki ukikamilika watarudishiwa feedback ndiposa na Vyuo viweze kuwapa admission letter. Kulingana na ratiba ya NACTE tarehe 5/10/2019 ndo admission letter zitaanza kutoka alafu Vyuo vitafunguliwa tarehe 15/10/2019.
 
ahsante sana bro majibu yako yamenipa dira
 
kuhusu admission letter kuna aliechaguliwa diploma udom na amepata admission letter mbona kila nikiangalia kwa profile ya dogo hamna chochote na muda unasonga maana naskia degree zishatoka...isije ikawa profile ya dogo inashida halafu nashangaaa tu.View attachment 1213165
Vipi mkuu umefanikiwa? Mimi bado naishi kwa matumaini au wa diploma na certificate ndiowa mwisho kuwekewa hizo documents?
 
Vipi mkuu umefanikiwa? Mimi bado naishi kwa matumaini au wa diploma na certificate ndiowa mwisho kuwekewa hizo documents?

Ndo hivo ila kuanzia J.mosi ya tarehe 5 baadhi ya Vyuo vilishaanza kutoa admission letters. Ubaya ni kwamba utaweza kuipata hiyo admission letter alafu unakuta huna muda wa kujiandaa kwenye vitu kama ada n.k. kwa hiyo ni vyema tu ukawa na hela "standby" ili ishu ikitiki usianze kupaniki PIA IKITOKEA BAHATI MBAYA ukakosa usikate tamaa kwani kuna March intake ambayo application zake zinaanza 15th January – 20th February, 2020.
 
Kuhusu admission letter msiogope nimeongea na waziri mkuu wa college frani alilifikisha hilo na kasema kulikuwa na changamoto kwenye system yao hivyo kasema soon zitakuwa tayari
 
Selection imepatikana kinachogomba ni hiyo admission letter. UDOM ukikosa mpaka baada ya mwaka tena.

Ndo hivo ila kuanzia J.mosi ya tarehe 5 baadhi ya Vyuo vilishaanza kutoa admission letters. Ubaya ni kwamba utaweza kuipata hiyo admission letter alafu unakuta huna muda wa kujiandaa kwenye vitu kama ada n.k. kwa hiyo ni vyema tu ukawa na hela "standby" ili ishu ikitiki usianze kupaniki PIA IKITOKEA BAHATI MBAYA ukakosa usikate tamaa kwani kuna March intake ambayo application zake zinaanza 15th January – 20th February, 2020.
 
Duuuh, yaan kuna watu/wanafunzi wengine wanaraha sana yaan kila kitu kinafanywa na mzazi au mjomba, yeye katulia tu anasubiria Siku ya kuambiwa kwenda chuo.
Maana nikicheck sisi wengine kila kitu tunafanya wenyewe toka kuangaika na maombi ya chuo hadi Admission leter then tunakuja kuwapanga wazee kuwa mambo yametick chuo Fulani..
Hongera zao..!!
Kuhusu admission letter kuna aliechaguliwa Diploma UDOM na amepata admission letter mbona kila nikiangalia kwa profile ya dogo hamna chochote na muda unasonga maana naskia Degree zishatoka. Isije ikawa profile ya dogo inashida halafu nashangaaa tu.
View attachment 1213165
 
QUOTE="Shombe la Kisomali, post: 33148084, member: 437138"]
VP, huko UDOM,, watu was Diploma washaanza kuripoti..?
[/QUOTE]

Tarehe 26 ndio siku ya kureport
 
Back
Top Bottom