Msaada: Admission Letter Diploma Computer Science UDSM COICT

Dec 30, 2018
49
133
Kwema wakuu?

Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nina ndugu yangu amechaguliwa Diploma ya Computer Science UDSM, lakini mpaka leo hajapata Admission Letter na joining instructions.

Kwenye majina walisema wanatuma kabla ya tarehe 6 October kwenye email, lakini mpaka leo bado na chuo kinafunguliwa tarehe 28.

Kwenye account hakuna chochote.

Je, kuna ambao wameshatumiwa tayari isije ikawa ni yeye tu.
 
Account yako inaonyeshaje????
 
Admission letter Na joining instruction unatakiwa ukachukua kule coict ...zitakuwa tayari .. mimi nimemaliza pale diploma mwaka huu
 
Kwa hiyo wa diploma hawatumiwi admission letters kwa account zao za application mpk wazifate COICT vipi wamikoani nao
 
Back
Top Bottom