Poa tuma salamu kwa watu wawili...Mkuu nilishawahi kuzitoa kama mbili hivi enzi hizo sekondari,... hadi leo sijawahi tena.
si kuna jamaa kasema tuulize maswali ya maana mkuuMkuu huu sio uungwana,.itapendeza kama utaanzisha uzi wako lakini sio kututoa kwenye reli.