Msaada was haraka unahitajika

fijohnas

Member
Mar 20, 2018
23
5
Habari za mida ndg zangu,ninatokea kanda ya ziwa,mkoa wa Mara.Naomba msaada was mawazo kwa mtu mwenye uzoefu wa kilimo cha dengu,mawazo yako yajikite zaidi katika muda mwafaka wa kupanda zao la dengu maana taarifa zinatofautiana,kuna wanaosema hupandwa kati ya mwezi March na April na wengine wanadai ni April na May hivyo nimekoswa msimamo maalum,ahsanteni na karibu kwa mawazo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom