Msaada: Wapi wanauza Mic za Blue Yeti au SnawBall ice kwa DSM

Msaada: Wapi wanauza Mic za Blue Yeti au SnawBall ice kwa DSM

Acha Maneno

Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
49
Reaction score
96
Naomba mnisaidie ni wapi naweza kupata Microphone hizo Blue Yeti au SnawBall ice kwa DSM.

Mimi binafsi nimezunguka Kariakoo na baadhi ya maduka sehemu nyengine kama Makumbusho lakini sikufanikiwa kuzipata hizo microphone.

Wauzaji wengi wanasema hawana hizo microphone.

Mwenye kujua naomba msaada tafadhali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom