Msaada: Wapi ulipo ubalozi wa Ubelgiji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Wapi ulipo ubalozi wa Ubelgiji?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by NIMEKIMBIA CCM, Nov 15, 2011.

 1. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Heshma kwenu magreat thnker,poleni na majukumu ya kulijenga taifa naomba mwenye kupafahamu ubalozi wa ubelgij nchin tanzania uko maeneo yapi anisaidie kwa kunipa maelekezo,
  MUNGU AWABARIKI SANA
   
 2. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ubalozi upo Upanga karibu na Aghan Hospital (ocean road-see view) karibu na nyumba ya mkapa. Hope umenipata mkuu
   
Loading...