Msaada: wapi ntapata rane controller

Msaada: wapi ntapata rane controller

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,920
Reaction score
28,486
kama kichwa kinavyojieleza... naomba msaada kujua wapi ntapata Rane controller.. mwanzo nilikuwa natumia pioneer ila nimeshaichoka.. ntashukuru nikipata majibu hapa..
 
Bila shaka itakua ulikuwa unatumia cdj-100 ndio maana uliichoka, na sijajua unatafuta rane ya aina gani kwa maana sijawahi kusikia kama rane ni wazuri kwenye kutengeneza controllers zaidi ya ile RANE TWELVE.
Pioneer,Numark na Technics ndio wazuri kwenye turntables na controllers, au labda kama ulikua unahitaji sound cards na mixer za rane.
Kuliko kutafuta rane ni bora utafute pioneer ddj-sz au sx zipo sawa na 4 channels, pia ni serato controllers.
 
Ni kweli mkuu unavosema wananamby rane ni wazuri kwenye mixer... so nitafute mixer yake??afu deck yake niendelee nayo hii pioneer??? na je unazielewa speakers za candy na fidek?
 
Kwa hapa ngoja niwe mpenzi msomaji labda nitaelewa hiki ni kidudu gani.Dah vumbi hili kijijini huku linatutesa sana mpaka vitu km hv hatuvijui.
1537786073657.png
1537786086130.png
1537786111433.png
wanaongelea hivyo viyu hapo
 
Ni kweli mkuu unavosema wananamby rane ni wazuri kwenye mixer... so nitafute mixer yake??afu deck yake niendelee nayo hii pioneer??? na je unazielewa speakers za candy na fidek?
Ndio nazifahamu kuna za kubumba na original lakini kitu kikubwa si kuangalia box la speakers bali tazama mashine ya ndani,ukipata original ni ghali lakini zipo vizuri sana hasa kwenye uimara na zinalia vizuri.

Kuhusiana na rane mixer zipo ghali kidogo na ughali utaongezeka endapo ukinunua rane lazima ununue na sound card yake kama rane sl1 au sl2,japo nitakushauri ununue sl2 kwa sababu ina support serato dj wakati sl1 ita support scratch live pekee na scratch live ni ya zamani na haina vitu vingi kama serato dj.
Serato-DJ-main-screen.png

Serato Dj

20129.png

Serato scratch live.

Kama una cdj za pioneer ambazo zipo vizuri tafuta mixer ya rane na sound card kama ukitaka kupunguza budget chukua rane mixer TTM57mkII ina built in sound card na ukiinunua ni ku connect na vichwa na kupiga no need of sound cards.

ttm57mkii_flat-Blog-Size-1204x642.png

TTM57mkII

Kuna kitu kama rane 72 zina bei hizi sikushauri kununua hii mixer endapo tu kama utakuwa unapiga night clubs kubwa au events kubwa kubwa.
preview.jpg

Rane 72
Rane 72 ni touch screen.

In short rane ni wazuri jaribu kutenga muda wao kutafuta mixer nzuri zipo nyingi tu,ila kama una pioneer za cdj tafuta tu mixer.
Uzuri wa rane mixers zina crossfader nzuri sana ambazo zipo accurate sana na zinakaa kwa muda mrefu bila replacement zaidi ya kusafisha.
Hizi rane kwa scratch djs ni nzuri lakini pia unaweza uka adjust uzito wa crossfader na feature nyiiingi.
5177889e09b54bb18b8d727e0057e887.jpg
 
Shukran mkuu niliambiwa sio rane zote zinasapoti serato dj Kumbe kweli Daah
 
Back
Top Bottom