Kkoo kuna duka wanaziuza 450k lipo likoma na Aggrey kama unaenda likoma na uhuru kulia.Hello wana jukwaa,
Natafuta monitor kama hii upana wa kati ya inchi 22 mpaka 27
Kama nikisaidiwa na bei itakuwa poa zaidi.
Natanguliza shukrani
View attachment 1407788
Machinga kwa sasa kupata kwa hyo bei ni ngumu.Kkoo kuna duka wanaziuza 450k lipo likoma na Aggrey kama unaenda likoma na uhuru kulia.
Sema hizo monitor zamani kidogo niliwahi kuziona machinga complex 100k mpaka 200k kutegemea na ukubwa.