Kuna VPS nyingi sana huko duniani, mfano Amazon, Google na Contabo.
Mimi binafsi natumia Contabo na nimeka OS ya Ubuntu 22.
Kwa nini nilichagua Contabo
- Price ndogo kwa huduma bora, kwa Tsh 15,000 per month unamili server yako pamoja na public IP.
Vifurushi vyake nimeweka hapo kwenye picha chini.
All the best mkuu unapokwenda kumiliki server yako, cha kuongeza tafuta na domain name yako kabisa.