Msaada: Wapi Jijini Dar nitapata T-shirts za uniform za wanafunzi?

Na yupi anafanya t-shirt printing kwa bei fresh lakini kwa ubora wa hali ya juu?
 
Wakuu,

Nina shule ya watoto wadogo na nahitaji kupata t-shirts kwa bei ya jumla. Dar ni maduka gani yanauza hii kitu?

karibu tshirt garage mabibo hostel



sisi ndio mabingwa wa tshirts za shule.. unaweza ingia page yetu instagram ujioneee kinachoendelea au kufika ofisini kwetu..

0718 537 216
 
karibu tshirt garage mabibo hostel



sisi ndio mabingwa wa tshirts za shule.. unaweza ingia page yetu instagram ujioneee kinachoendelea au kufika ofisini kwetu..

0718 537 216


Mkuu, hiyo video clip ni maelezo tosha, nakucheti soon tuone upande wa bei
 
Habari?
Nimepata tenda ya kugawa t-shirts kwa shule za msingi. Nahitaji anayeuza t-shirts kwa bei ya jumla.
Nipo Mbeya lkn Dar kuna mtu anayeweza kuniwakilisha.
Napenda yawe na ubora wa juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom