Msaada wapendwa- bikra inanitesa

Kweli????? Tangu nikutane na bikra za kichina sina tena imani na nyie,na naamini hakuna bikra siku hizi,walifaidi baba na babu zetu
 
Tafadhali sana,

Endelea kujitunza hadi mfunge ndoa, Keep up the endurance.

Pengine hata ukute hio ahadi ya ndoa ipo tu ili umuamini then akishakula kitu yake, USIMUONE TENA.

Mara naona siku izi amebadilika au sijui nini nini!!!!

 
Kwanza pole maana hayo unayowaza yamewakuta wengi.ole wako uonje hiyo asali! Utaishia humo mamii....
 

We nimekupenda bure.
 
acha ujinga, watoto darasa 3 tunagonga kama kazi huku town ww 26 unaremba, kawaulize watakushauri...
 
Ore wako uweke id yako ya kweli na mahala ulipo uone utakvyoandamwa hata ukijifungia wapi jiwe la fatuma litatumika tu. unatangaza bidhaa adimu hadharani kirahisi rahisi hivyo huogopi weye?! Kwa taarifa yako tu, wako waliotimu umri wa miaka hata sabini hawajawahi kuona hii kitu, na wako humuhumu. wadhani watakuacha weye??
 
Bikira bikira au zile za kariakoo kwa mwarabu? Anavyoogopa utadhan anakatwa mguuu! Sasa tukushauri nini? Kama ni bikira akuache akishakuoa ndio akubikili.
 
Mimi napingana nanyi wote mnaomshauri mpaka aolewe bila kujiuliza je huyo anayemuoa ni bikra, au sheria ya ubikra inambana mwanamke tu?! Wewe kula hiyo kitu yako huyo jamaa hana guarantee kwamba akikuoa ndio hatoku cheat au kukuacha eti kisa kakukuta bikra unajidanganya kuingia darasa moja na aliyekwisha kutangulia madarasa mawili mbele akarudi nyuma ukadhani mtakuwa sawa hata kama ni kilaza vipi!

Angekuwa msafi na anastahili kutunziwa bikra usingegombana naye kitandani kama unavyodai hapo juu (hata hivyo inashangaza unalala naye kwa sababu gani wakati hamjafunga ndoa?!)
Cha msingi tafuta bingwa wa ako ka mchezo ataitoa bila hata kujisikia kama ameitoa kwa utamu utakaousikia utakuwa ganzi ya maumivu kidogo yanayoambatana nayo.

Kuhusu sustainability ya mapenzi siku hizi kimekuwa kitendawili sana kwa sababu mwanzo hautabiri mwisho! mnapoanza akija mtu kati yenu akawaambia soon mtagombana na kuachana mnaweza hata kumchanachana kwa mapanga kwa kumuona hafai katika jamii, lakini muda si muda yanawatokea unabakia kusema niliambiwa lakini sikusikia!

Tukumbuke woote wanaochana na hata ndoa kuvunjika walishapendana sana mwanzo, na kwa bahati mbaya hata zile ndoa au mahusiano yanaoonekana kuendelea ni kwa kinachoitwa uvumilivu katika ndoa/mahusiano. Wakati tunatakiwa kuvumilia ugonjwa, kifungo, kazi, shule na majukumu mengine yasiyohusiana na mapenzi/ mahusiano. Haina mantinki kilichokusudiwa kuwaletea furaha kiwe cha kuvumiliwa kwa mateso.

Raha jipe mwenyewe.
 
kama mpo kwenye process za ndoa nini kimekufa/kimewafanya msisubiri hadi ndoa? ngoja uje utatuliwe huo utando na ndoa iishie hapo! chezea wanaume wewe!
 
achana nae usikubali kusex nae,atakushusha na kukudharau na hatakuoa

kama anakupenda kweli na kakupa uhuru wa kuchagua mwambie akusubirie,usihangaike kumridhisha mtu ambaye ana asilimia
nyingi za kukuharibia.sex kitu gani bwana!! hiyo tamaa ya mwili ikiwepo itaharibu mambo yote,upendo wa kweli huvumilia yote
 
hiyo bikra kama kweli unayo ndo ingekuwa tiketi ya ndoa wewe wataka itoa? huenda mwanaume kasema kwanza nihakikishe then ndo ndoa iendelee! wewe utaumia? jamaa atatoka nduki!
 
iloweke kwenye maji dk 30 kisha itakuwa laini.
turudi kwenye topic
ndoa yenu mmepanga kufunga lini? kama ipo karibu subiri tu kwenye fungate jamaa aitoe taratibu, kama we unataka sasa hivi mwambie jamaa akukunje yani akubane vizuri na aje na helmet maana kuna ngumi na mateke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…