Msaada wapendwa- bikra inanitesa

Nakuambia akishakugonga hata uwe na bikira ujue ndoa inawezaota mbawa,mwambie atulizane
 
Wanaume akili zetu tunazijua wenyewe.. Unaweza ukagawa bikra yako hiyo na ukashangaa Ndoa hakunaga.. Kama umeamua kujitunza endelea na safari yako

kabisa kabisa akili zetu twazijua wenyewe, hatunaga tabia ya kufuga Ng'ombe kama uwezekano wa kupata nyama na maziwa upo..
 

akifata ushauri wako itakua raha sana siku ya honeymoon jaman lol!
 
Umekuja kupima tension ya wapenda bikra
Ama uko kwenye promotion ?

Jaribu kuwa makini ili mambo yako yaende vzr
 
..Ww kweli mpuuzi akiliyako inakufanya uiyone zinaa nijambo dogo na lakwaida sana mpaka unataka ushauri kutoka kwa watu usio wajua. Ivi ww huna dini au dini yako haina haram kila kitu ni halal?
 
Kwani jamani bikira kuitunza mpaka siku ya ndoa kuna zawadi huwa zinatolewa au inaweza kukusaidia ukapata ndoa yenye furaha na amani itakayodumu milele!nionavyo mimi unajichelewesha tu kujipa raha,ushauri wangu mm kama unamuamini vumilia kidogo hayo maumivu then endelea kufaidi kwa raha zako,you never know if tomorrow will come,enjoy yourself binti life is too short for fantacy unataka ukue mpaka ufike miaka mingapi?
 
Point,nakuunga mkono 100% usikubali kusex before marriage,usipo sikiliza haya tunayokwambia
it will be a big mistake u have made in ur life
 
Marketing Strategist wako mwongeze mshahara, ni hayo tu.
 
Wenzako wanagharamika mpaka China kuzitafuta..Halafu wewe unataka kuwa used!!!!

Aiseeee!!! Unaishi wapi..pengine tukionana naweza kukupa ushauri mzuri zaidi..😉
 
Mhh, eti "The rule of shake well before use is applied"!!!! Unaitumia vibaya hii kanuni! Unaruhusiwa kuitumia mara baada ya kuruhusiwa na daktari (In this case Sheikh, Padri, Mchungaji au yeyote mwenye idhini hiyo)! Na kwa bandiko lako, I can even believe that you are not VIRGIN! Sema unatamani kugegedwa, PERIOD!
 
Kwanza nadhan kuna uwezekano mkubwa wewe ni mwanaume na si mwanamke ila unaleta mada ambayo ukweli huenda hujawahi kukutana na hiyo unayoongelea ila wataka kujua watu watasemaje? Pia kama ni mwanamke bac umepinda/unatabia mbaya huwez kuja kuzungumza wewe sasa ni bikra kama kweli ni bikra sidhani kama usingekuwa na aibu! Nijuavyo mimi mabikra wote (me/ke) wanaaibu sana ila wewe kwasababu unataka ushauri maana si bikra basi utaupata tu. Cha msingi kama kweli ni bikra basi usiruhusu kuchezewa mwili mpaka uolewe na ukitaka kuharibu maisha yako fanya na mtu kabla ya ndoa maana wewe kama mwanamke ni mambo sita tu ndo hutoyasahau maishani mwako na moja ni hili atakayekutoa bikra. Ni bora mtoa bikra awe atakayekuoa huo ndo ushauri wangu.
 

promo at work
 

Ushauri wako ni mzuri sana. Lakini what if jamaa ana kibamia? She has to find out before marriage. Plus the intimacy itself. Lazima ukague kama mnaendana kitandani. Mambo ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia nani anataka?
 
sasa kama umejitunza kote huko kwa nini utataka kuzini na mtu ambaye sio mume wako..si ufunge kwanza ndoa..angalia sana uchumba sio ndoa,unaweza vunjika hta madhabahuni na asiwepo wa kulamiwa.
 
:faint2::faint2: yani umeleta humu. we umeshamegwa.....
 
kama ni kweli hongera namheshim sana mwanamke aliyejitunza sure anafanya ndoa iwe na furaha sana kuliko kuoa mke ambae kila kijana unaekutana nae ameshamvua chupi hili linanipa karaha sana
 

ushauri mzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…