Kumbe ndio hivyoapo anakujengea mazngra ya kuomba penz ili kufidia hela zako, uskubal ni mtego huo,
Yaani nipo kwenye hali hiyo sasa. Mtu ameomba msaada nikampa lakini inakuwa shidaWapo wengi wa namna hii mkuu, kikubwa wewe kama una nafasi msaidie na usitake kitu chochote kwake. Mimi mwaka jana kuna mmoja nilimsaidia sana hadi mwanzoni mwa mwaka huu naona amepunguza sababu sijawahi gusia swala la mapenzi kwake na sitomuomba ng'oo
Hawa wadada ata mm nashndwa kuwaelewa, yan ukimsaidia chochote tu lazma aanze kukufatilia! Wengi wao hawaamini kuwa unaweza kumsaidia bila kutaka kitu kutoka kwakeKumbe ndio hivyo
Ebu soma vizuri uzi wangu may be ujanielewa wapi nimesema kunakitu nategemea kwa huyo manziWapo wengi wa namna hii mkuu, kikubwa wewe kama una nafasi msaidie na usitake kitu chochote kwake. Mimi mwaka jana kuna mmoja nilimsaidia sana hadi mwanzoni mwa mwaka huu naona amepunguza sababu sijawahi gusia swala la mapenzi kwake na sitomuomba ng'oo
Asante bidada kwa ushauri ila kwa manzi yule wa kislamu nimechana nae mbona nina kama wiki 2 au 3 kama sikosei sasa nipo single yule nimechana nae kwasababu ya mzee wake kutaka mimi niachane na mwanae kanipa vitisho Sana na kauli mbaya Sana so nikaona Bora nikubali yaishe nisije nikapata matatizo zaidi nikaona nikutane na manzi yangu nikwambia yote ingawa akupokea vizuri lakini sikuwa na jinsi na niwamuuzi ulikuwa mgumu kwangu katika maisha yangu yote kwa namna nilivyompendaJF kila kidume ni kitajiri kikiombwa kodi na pesa ya kula kinatoa bila masharti. Kwanza kodi yenyewe ni sh ngapi mpka kuja kulalamika JF . Mambo mengine malizeni huko huko kisha mtuletee mrejesho
Una mpenzi yule binti wa kiislam mwambie kinachokupata akusaidie kuipunguza kero hio. Kama hauwezi mpe makavu sio kuishi kwa moyo wa manung'uniko,utakufa kwa stress na kuiacha dunia tamu hii.
Kuwa shupavu,kuwa mwanaume ngangari onesha msimamo
Asante bidada kwa ushauri ila kwa manzi yule wa kislamu nimechana nae mbona nina kama wiki 2 au 3 kama sikoseiJF kila kidume ni kitajiri kikiombwa kodi na pesa ya kula kinatoa bila masharti. Kwanza kodi yenyewe ni sh ngapi mpka kuja kulalamika JF . Mambo mengine malizeni huko huko kisha mtuletee mrejesho
Una mpenzi yule binti wa kiislam mwambie kinachokupata akusaidie kuipunguza kero hio. Kama hauwezi mpe makavu sio kuishi kwa moyo wa manung'uniko,utakufa kwa stress na kuiacha dunia tamu hii.
Kuwa shupavu,kuwa mwanaume ngangari onesha msimamo
mazoea hujenga tabia.
ukimzoesha mtu kila akikuomba unamsaidia hii hufanya mtu iwe tabia yake hata akiwa ana shida isiyo na umuhimu atakuomba.
Leta mdada hapo kwako pisi kali kuliko yeyeHabari wanaJF,
Katika harakati zozote za binadamu changamoto hazikosekani katika maisha, nimesema hivyo kwasababu kuna mdada mmoja jirani hapa nimefamiana naye kidogo sana. Siku moja akanifuata akaniomba nimsaidie chochote nilichonacho akaniambia yeye anadaiwa kodi na mwenyumba wake na pia hana hela hata ya msosi
Binafsi nikaguswa na shida yake nikaamua nimsaidie bila condition yoyote naamini shida imeumbwa kwa mtu yoyote na unapoona mwenzako msaidie kama uwezo huo unao na kwa moyo wako bila kutegemea chochote kutoka kwake
Nami nikamsaidia kumlipia kodi lakini pia nikampa na hela ya msosi maana nilikuwa na number yake na yeye ana number yangu baadae usiku akanipigia akanishukuru tena kwa msaada niliompa.
Tangu nimsaidie imekuwa kama nimefungulia mbwa huyu dada amekuwa ananiomba haswa hivi mpaka najiuliza hivi huyu dada ajistukii utadhani mimi ni boyfriend wake au ni Mzazi wake kila nilitaka nimchane moyo unasita najikuta naahirisha
Hivi wadada mna shida gani?
Yeye shida yake ni helaa anaweza kuendelea kuomba tu kwani yeye huyo binti mwingine anamuhusu nini π π π jamaa aache shortcut amchane huyo manziHata rafiki yako tu muombe aje akae hapo afu wewe unakaa hata kwa mshikaji then dada akianza omba mwambie amuombe yule dada ndo anaesimamia bills
Nakuhakikishia harudii labda awe sugu
huyu binti mwingine ni ka defence mechanismyeye shida yake ni helaa anaweza kuendelea kuomba tu kwani yeye huyo binti mwingine anamuhusu nini π π π jamaa aache shortcut amchane huyo manzi