msaada wandugu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wandugu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kiduku, Oct 22, 2010.

 1. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habarini za asubuhi wandugu,naombeni mnisaidie:nina umri wa miaka 38 jinsia yangu ni ya kiume niko single nimechagua wadada wee mwisho naona umri unataka kunitupa mkono la ajabu sasa kila demu ninaetaka kumuoa ananitolea nje nina kazi katika kampuni binafsi ya matangazo (advertising) hapa dar hapa kama kuna mwenye vigezo vifuatavyo ajitokeze,
  Awe mchaga
  Awe mkristo mcha mungu
  Awe na elimu kidato cha nne kwenda juu
  Awe na umri 28-32
  Asiwe na mtoto
  Vigezo vingine tutavijua mbele ya safari
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  daah tatizo apo tu
  toa ukabila wewe
  angalia mtu binafs unayozani yapo kwa mchaga uenda usiyakute na i globalizationj watu washachakachua mila na desturi vya kutosha uwez kuta CREAM KABILA thats uyu ni mchaga aliyekamilika kwa kila kitu cha kichaga apana noooo..mashulen umo tunajichanganaya ukabila unapungua,kazin na IT IZI ndo zmearibu kila kitu
  we angalia anayayekufaa labda ungesema nataka mtanzania nisingetaka mwarabu au msomali ..bt NATAKA MCHAGA ONLY..mmh sijui lakin..THAST IZ OL I THK TOA UKABILA WEWE
  bt km vp na mungu akujalie umpate manka wako!!!!!!!
   
 3. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Awe bado bikra au?????hii sifa mbona huipi nafasi
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Unachagua mno ndo maana wanakukataa ..
  sijui hata nikushauri nini
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Muulize kama anataka WIFE MATERIAL AMA?
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  pool yako ya kuchagua mwenza naona umeifinya sana ...


  ungeanza na kuondoa kigezo cha kabila kwanza nafikiri ungejipa msaada, pia kigezo cha umri, hebu weka hadi angalau 35 hapo
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  hahahhaaaa hahah ndo mana unaitwa kituko!!!!!
  tokazako uko sichokozek mwone vile!!!!!!
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Oct 22, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Huyu bado wa zamani kweli anapenda ukabila?? Ndo maana hapati mchumba huyu aaahhh
   
 9. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  nakubali kuondoa kabila...
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  i new this was coming and i could see it coming
   
 11. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  usikubali kwa kulazimishwa follor ur hurt!kwann mchaga?au ww ni herineema unamtaka sia?je sisi ambao kabila letu ni watoto wa town(eg baba msukuma + mama mwarabu=hatujui kisukuma wala kiarabu)?:nerd:
   
 12. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2010
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Heeee!wee vipi?*?
  baba msukuma + mama mwarabu=Msukuma
   
 13. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  msukuma feki?maana hata kilugha chenyewe hujui
   
 14. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2010
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mimi naona wanachofaidi watu katika kuwa na mke/mume kabila 1 ni
  1.Kupunguza gharama haswa kama kipato chenu ni kidogo,kama ni safari ya likizo,misiba,parents caring etc inakuwa ni upande 1. Sio leo mko Kagera kesho mku Mtwara-mtachanganyikiwa.
  2.Mila-mnakuwa mnaendana/shabihiana /karibiana-wengine kukaa na kichupi talking room ni la kawaidia wengine ni taboo.

  Mkisema mambo ya utandawazi basi ni bora aende brazil ajue angalau amenunua mbuzi kwenye rambo-ahaaaaaaaaaaaaaaaah.
  Ushauri wangu kama kweli uko more than serious niambie mchaga wa wapi exactly na nitakupa connection.
  Cheers
   
 15. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Baba ndio maana unawakosa unaweka vigezo utafikiri mganga wa kienyeji,kwa umri huo wasio na watoto japo wapo lakini ni wachache na inawezekana na wewe hufikii vigezo vyao lakini kwenye uchaga kwa kuwa umeanza kaubaguzi ka kabila ungespecify kabisa unataka mchaga wa Uru,Kibosho,Machame,Rombo,Marangu,Mwika au wapi?
   
 16. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ndo kauli mbiu kwa sasa
   
 17. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  spellin plz!!!
   
 18. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  najua wewe ni mwalimu wa mwandiko na si lugha !!!!

  shule gan unafundsha vile?
  mmelipwa mwezi huu?
  funga vizuri shat bas uoni vitu vinaonekana?
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
   
 20. WABUSH

  WABUSH JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Originally Posted by kiduku [​IMG]
  Habarini za asubuhi wandugu,naombeni mnisaidie:nina umri wa miaka 38 jinsia yangu ni ya kiume niko single nimechagua wadada wee mwisho naona umri unataka kunitupa mkono la ajabu sasa kila demu ninaetaka kumuoa ananitolea nje nina kazi katika kampuni binafsi ya matangazo (advertising) hapa dar hapa kama kuna mwenye vigezo vifuatavyo ajitokeze,
  Awe mchaga
  Awe mkristo mcha mungu
  Awe na elimu kidato cha nne kwenda juu
  Awe na umri 28-32
  Asiwe na mtoto
  Vigezo vingine tutavijua mbele ya safari


  Mchaga na ukristu naona kama tautology vile au
   
Loading...