msaada wandugu

nakubali kuondoa kabila...

...ohooo, mbona kiurahisi unakubali kuondoa vigezo ulivyojiwekea?
Simamia hapo hapo kaka, maisha ya sasa usipokuwa na msimamo thabiti watakuonea.

Subiria,
...soon mchaga aliye mkristo tena mchamungu ataku pm humu.
Usimwambie mtu, naye akikupiga kibuti hakuna ushahidi!
 
Habarini za asubuhi wandugu,naombeni mnisaidie:nina umri wa miaka 38 jinsia yangu ni ya kiume niko single nimechagua wadada wee mwisho naona umri unataka kunitupa mkono la ajabu sasa kila demu ninaetaka kumuoa ananitolea nje nina kazi katika kampuni binafsi ya matangazo (advertising) hapa dar hapa kama kuna mwenye vigezo vifuatavyo ajitokeze,
Awe mchaga
Awe mkristo mcha mungu
Awe na elimu kidato cha nne kwenda juu
Awe na umri 28-32
Asiwe na mtoto
Vigezo vingine tutavijua mbele ya safari

Kigezo cha kwanza tu ndo sina vingine vyote ninavyo...

Wacha niendelee kusubiri...:violin:
 
Kigezo cha kwanza tu ndo sina vingine vyote ninavyo...

Wacha niendelee kusubiri...:violin:
...jamani,
si amekubali kuondoa 'shilingi!?'

quote_icon.png
Originally Posted by kiduku
nakubali kuondoa kabila...
 
nakubali kuondoa kabila...
waswahili wanasema kuchamba kwengi tukota na m@vi.... mkuu lugha tu uliyoweka, inakua kama unamfanyia feva mwanamke... that totally removes the priviledges of equal share of teh love cake and the flames will tend to lean towards your favor

I advice that love comes naturally and you need to take you time and open up a little... things will come naturally without any checklist like the one you sent out

I wish you all the best bro:A S 39:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom